RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

SHE'S ONE OF THE TALENTED MOVIE STAR IN BONGO


Muite Blandina Chagula,Kalunde,Namande alimaarufu JOHARI nani asiyemjua huyu dada kwa hisia za kulia unapomkuta akiwa kazini .

4 comments:

Chemi Che-Mponda said...

Napenda sana sinema za Johari na za Blandina Chagula kwa ujumla! Blandina ni Angela Bassett wa Tanzania! Hiyo jina nampa mimi!

Anonymous said...

Johari ni muigizaji mzuri sana ila afya yake siku hizi hainifurahishi usimpe kazi sana anahitaji pia kupumzika

Anonymous said...

ni msanii mzuri bt mkorogo wa nini? u looked good before that mkorogo.

Anonymous said...

Namkubali sana huyu dada, anavaa uhusika haswaa! Ila kujikondesha na mkorogo, hapo tu ndo anaponikwaza!