RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Friday, November 30, 2012

ARUSHA AFRICAN FILM FESTIVAL

Nimepata mwaliko wa ARUSHA AFRICAN FILM FESTIVAL ambao utajumuisha mastars wa filamu Africa.

Wednesday, May 30, 2012

TUNAISHUKURU SERIKALI YA JAKAYA KIKWETE


Tunafarijika sana sisi wasanii na serikali yetu ya sasa hatuna cha kuwapa zaidi ya shukrani zetu za dhati kwenu kwa kipaumbele mnachotupatia kwa sasa hii haijawahi kutokea katika serikali zote zilizopita tunakushukuru sana Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania, kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya The Great na sisi wasanii wote Bongo Movie tunasema tunawashukuru sana..


Naibu Waziri wa utamaduni na michezo Mhe, Amos Makalla akiwa anawasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi hiyo sisi wasanii tunasemaje Mhe.Amosi Makala ni chaguo sahihi katika wizara aliyopewa tunampenda sana maana anajali sana wasaniiMh; Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa The GreatMheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.Mtitu Game mkurugenzi wa game 1st quality


Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari .


Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.
 

Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.Kabla ya kukabidhiana mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..


Makabidhiano yakafanyika.Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwaMama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo


Mama akisaini mkataba toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezoSeth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.Mh; akisaini.

JB


Mtitu na Mama wa marehemu.

Jack wolperJB na Tino.The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.The Greatest.Mama Frola na The Greatest.


Dada wa marehemu(Bela ).


Jenifer Kiyaka akiwa na Mama wa marehemu.Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos
Makalla Baada ya matukio yote kuisha


END......

TUNAISHUKURU SERIKALI YA JAKAYA KIKWETE

 Tunafarijika sana sisi wasanii na serikali yetu ya sasa hatuna cha kuwapa zaidi ya shukrani zetu za dhati kwenu kwa kipaumbele mnachotupatia kwa sasa hii haijawahi kutokea katika serikali zote zilizopita tunakushukuru sana Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mhe.Dk Jakaya Mrisho Kikwete kwa kututhamini sisi wasanii wa Tanzania, kwanini nasema hivi leo.., serikali yetu ya Tanzania imetoa milioni kumi kwa famila ya marehemu Steven Kanumba kama rambirambi ya serikali yetu. Familia ya The Great na sisi wasanii wote Bongo Movie tunasema tunawashukuru sana..

 Naibu Waziri wa utamaduni na michezo Mhe, Amos Makalla akiwa anawasili nyumbani kwa marehemu Kanumba kwa ajili ya kutoa rambirambi hiyo sisi wasanii tunasemaje Mhe.Amosi Makala ni chaguo sahihi katika wizara aliyopewa tunampenda sana maana anajali sana wasanii

 Mh; Amos Makalla akisalimiana na Mama mzazi wa The Great

 Mheshimiwa akiwa makini kufuatiliia ratiba zinazoendelea..

 Mama wa marehemu (Mama Frola) akiwa na majonzi akisubiri kinachoendelea.

 Mtitu Game  mkurugenzi wa game 1st  quality

 Mh; Amos Makalla akiongea machache na vyombo vya habari

Mama wa marehemu akiwa na Mh; Amos Makalla.

 Mh; akiwa ameshika kiasi cha milioni kumi(mil 10) kwa ajili ya kukabidhi kwa familia ya marehemu kama rambi rambi ikimwakilisha Mh. Rais Jakaya Kikwete na Serikali yake.

 Kabla ya kukabidhiana  mama aliongea machache na kutoa shukrani zake kwa serikali..

Makabidhiano yakafanyika.

 
Mama akipokea pesa hizo kwa majonzi makubwa


Mama wa marehemu akionyesha kiasi cha fedha alichokabidhiwa kwa niaba ya ndugu na jamaa waliokuwepo

 Mama akisaini mkataba  toka kwa mwanasheria wa Wizara habari utamaduni na michezo

 Seth(Mdogo wa marehemu) naye pia alisaini kama shaidi.

Mh; akisaini.

 JB

Mtitu na Mama wa marehemu. 

 Jack wolper

 JB na Tino.

The Greatest nikiwa na mama tukiteta jambo.

 The Greatest.

 Mama Frola na The Greatest.

 Dada wa marehemu(Bela ).

 Jenifer Kiyaka akiwa na Mama wa marehemu.

 Jenifer Kiyaka na Mama Asha Baraka.

Steve Nyerere mkurugenzi wa kampuni mpya ya kisasa inayotambulika kwa jina la OS akiwa na Mh; Amos Makalla Baada ya matukio yote kuisha

END......