RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

JAMANI SANAA YETU HII SI HABA INATULIPA KIDOGO


Jamani movie za bongo zinalipa kidogo wadau hapa  kama mnavyomuona Johari si haba nae anajimuvuzisha taraaatiiibu.

5 comments:

Anonymous said...

acha uongo inalipa nini? wakati tunajua kama uliiba gari kwa mdau wa filamu au unadhani tumesahau acha wizi wewe, na bado utakonda sana mungu anakulaani kwa wizi wako. punguza uchawi unaroga wasanii wenzako tumekushtukia. huna unachooumwa lakini unakonda hujishtukii ni nini? punguza uchawi, umeigia choo cha kiume utakojoa huku umesimama.

kaole said...

tunajua kama johari aliwahi kuiba sio siri hana ubavu wa kununua gari kwa hizo movie zenu za kipumbavu, kanumba ndio baba lenu pumbavu zenu nyie. Johari huo mkorogo aliekudanganya ni nani? unatisha kama kipaka cha gesti

Anonymous said...

huyo johari ni mwizi jamani hana ubavu wa kununua gari labda kama kafirwa ila sio kwa sanaa yakeuchwara.

Anonymous said...

Kweli watanzania hatupendi maendeleo ya wenzetu yani johari kupata gari tu oooh mwizi na nyie c muibe bac tuone roho mbaya jamani na kama kaiba kweli inawahusuuuu..... hovyooo

kamua sana tu johari ucwackilize hawapendi maendeleo yako na hata kama unajichubua wao inawahusu nini ishi utakavyo wewe na usiishi watakavyo wao

big up sist

by kadada ka cnza

Anonymous said...

Ukweli unapima mwenyewe ila mshikaji mkorogo to much sijui nikwambiaje, acha kabisa mimi mpk nasikia kinyaa na ulivyokonda na huo mkorogo unazidi kutisha.