RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

MAMAA SANDRA NA YUSUPH MLELA ON SET



Wasanii Yusuph Mlela na Mamaa Sandra on set ndani ya Divorce, nashkuru sana kwa kazi nzuri milioinyesha ndugu zangu.nawakubali sana

1 comment:

Anonymous said...

Sandra nampenda sana mashauzi yake anajua kudeka mtoto wa kike hadi raha. Utatusaidiaje watu walioko nje ya Tanzania tuweze kupata hizo movie zako?