RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

BAADHI YA WAREMBO WANAOPATIKANA NDANI YA MOVIE YA "DIVORCE"


Hawa ni baadhi ya casting wanaopatikana ndani ya movie ya Divorce.

9 comments:

Andrew Mnywamwezi said...

Hey bruh, please find somebody to help you out typing some English words, it's totally ridiculous. You can't tell me you are being an actor because you are illiterate. I appreciate the work and effort you put on what you are doing, but this ain't gonna work. People judge you negatively by the way you type, write and especially your blog contents. Divorce is spelled d-i-v-o-r-c-e and not =DIRVORCE. You have proven to us that you cannot speak or write ENGLISH, but that is fine USA KISWAHILI. I type in English because I have confidence that I know what am typing. TUMIA KISWAHILI KAKA kama blair imekushinda. NDIO LUGHA YETU. Ukweli unauma, BUT, unaelewesha. KAchukue course ya kiingereza pale mnazo mmoja au masjid qubah karibu na kwako.

Mdau-Unyamwezini-Detroit

Anonymous said...

Thanks Andrew hapo juu, this is becomming so annoying, it's a disgrace it's not funny anymore.
-Maggie.

Anonymous said...

we anon wa sept 5 8:45am unamwambia Ray atafute mtu wa kumwandikia english words kwa kuwa amekosea kuspell divorce nahisi hujafikiria kabla kuandika comment yako, kwa kuwa hizo yawezekana zikawa ni typing error na hili ni ukweli mtupu kwani ushahidi upo kwenye comment yako badala ya kuandika bro instead umeandika bruh, je wewe pia utafutiwe mtu wa kukuandikia english words tena simpo as bro? sometimes kuna human being errors usimlaumu mshikaji sn ukamvunja moyo.

Anonymous said...

Bwana mnyamwezi kweli unaweza ukawa na nia nzuri ya kumuelewesha kaka kwa kukosea kwake kuandika hilo neno "divorce",lakini hebu tuelimike na kuacha kutumia vibaya uhuru wetu, coz ulivyoandika ni kama mwana mipasho. Mbona wewe umeandika "mnazo mmoja" badala ya "mnazi mmoja". Ndiyo ninyi mnaoitwa "HATERS", mwenzio kapiga hatua jitahidi na wewe, siyo kumshusha anayesonga. Big Up kaka RAY
Mdau-Fred

Anonymous said...

Mie nina uhakika kabisaaaa huyo andrew mnyamwezi amefuliaaa, kabakiza kiingereza tuu ulimini mwake basi akiona wenzie wanauza movie na wanafanikiwa basi anatamani kupasuka .wewe mnyamwezi don't hate a brother for being hardworking and enjoy the fruits of his labor, badala yake mtafute muulize kafanikiwaje.huenda akakuajiri japo kwenye movie moja upate msosi wa watoto.na tufikirie kabla ya kubwatuka.ni hayo tuu

Cece. Ohio

Unknown said...

kuna msemo mmoja unasema " jipu la makalioni halikamuliwi kwa meno. sasa huyo bro wa unyamwezini yeye ni jibu la makalioni na hatutaogopa kulikamua kwa meno ikibidi,, haa kitu kidogo mi meno imekutoka, nani hajui kwamba kingereza ni janga la Taifa - we vipi bwana turekebishane na sio kuzomea na kutuhumu

Anonymous said...

huyo jamaa hajaelimika hata kidogo.jaribuni kuchunguza chanzo.ndio maana wazungu wanatushinda kwa ubunifu.USIONE NA KUANZA KUKOSOA.KAZI NZURI BRO RAY.

Anonymous said...

Wasanii wa bongo wajinga sana, eti wanadai hati miliki,. wengi wao wanacopy kazi za watu, wanatafsiri tu filamu za nje.kisha wanawaibia watanzania pesa zao.

Enzi zile mtu ukisoma vitabu vya willy Gamba, Ammie Rajabu, unaona kabisa pesa yako imekwenda kihalali, lakini sasa wizi mtu.

toka wasanii wababaishaji waingi kwenye game la filamu, Filamu zote zinafanana isipokuwa wanabadili jina la filamu na wahusika tu.

katika hali ya kawaida duniani kote haiwezekani mtu kutunga filamu 3 kwa mwaka mmoja ila hapa bongo mtu anatunga filamu mpaka 30 au zaidi kwa mwaka.

Anonymous said...

aisee mnyamwezi umechemka in short we ni mtumwa wa akili,mind u kingereza is not our national language pia makosa madogomadogo yapo,tutikata CV yako hapo ulipo yaweza kua nikituko tu na kubeba kwako mabox huko states,ray yupo freeeshhh!usimkate stim maana zimelipiwa,ma bongo mengine bwana TEYARI YAMEKWISHAANZA HUAMINI!!