RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

BAADA YA "DIVORCE" INAYOTOKA 29/9/2009,KAA TAYARI KWA "FAIR DECISION"


Wandugu nawatangulizia movie nyingine hiyo ambayo iko jikoni inapikwa "Fair Decion" itatoka soon baada ya "Dirvoce" ambayo itakuwa madukani kuanzia tarehe 29/9/2009. sina mengi saana itakapotoka pata nakala yako.

3 comments:

Anonymous said...

"mzee wa mapodaaaa" naona TAMBIIIII hilo kama mzinga wa nyuki. 1!

Anonymous said...

Ray unaota kitambi kwa ajili ya kuwauza wasanii wenzako kwa kuwapeleka kwa watu walioathirika na ukimwi kwa tamaa yako ya pesa. SHAME ON YOU RAY. IDIOT MKUBWA WE

Anonymous said...

zipu haijakaa vizuri