RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Saturday, September 5, 2009

RJ Company Tanzania Ltd,Karibuni Wadau


Mjengo huo unaouona hapo ni RJ Company Tanzania Ltd,Wadau hapa ndipo kazi zote za utengenezaji wa filim za kibongo nyingi ambazo nimecheza mimi na wasanii ambao nimeshirikiana nao,hivyo wadau kama kuna yoyote anayetaka kufanya kazi na RJ  mnakaribishwa.Kaa tayari mdau kwa uzinduzi rasmi tarehe na lini nitawajia rasmi.

5 comments:

Anonymous said...

hiyo ofisi jamani itakuwa ya kukuwadia watu, au hamjui kama ray ni kuwadi aliebobea? yaani hapo ni Ngono kwa kwenda mbele hakuna jipya hapo hiyo ni tahadhari.

Anonymous said...

tunajua kama hiyo ofisi ni ya waathirika pia ni ya kitapeli,ila elewa kwamba mwisho wako unakaribia kwa utapeli na ukuwadi wako,wewe ni sawa na bi harusi anaevaa shela huku akiwa hajui kama mbele kuna ajali tutakushughulikia usiku na mchana na hao unaowatoa kafara kwa waathirika roho zao zitakulilia watakapowahishwa kwenda ahera mapema.

Anonymous said...

mbona mnaponda mnauhakika na mnachokisema

Anonymous said...

congrats Ray mungu akuongoze uzid kusongesha vyema gurudum la filam inshallah utafika......halla to johari...

Anonymous said...

It is good to support our fellow Tanzania when we see they are trying to make progress. If some one is wrong the wise way must be used to correct. Big up Ray.