RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Sunday, September 6, 2009

MIMI PIA NILIKUWAMO JAMANI KUWAKILISHA !!!!!!!!!!


Ndani ya Paradise City Hotel (Mafuta House) usiku wa kuamkia leo katika uzinduzi wa BBA 4 Revolution ulioandaliwa na Multchoice Tanzania.Mpaka tunaondoaka hatujui muwakilishi wetu ni  nani katika shindano hili!!!!

No comments: