Wahusika wakuu wa Movie mpya iliyotaka kuanza kushutiwa leo Hemed na monica
Wasanii bado wakiwa wanasubiri kurudi kwa umeme,huwezi amini hakukufanyika kitu leo tukisubiri umeme siku nzima
Mawazo ya kuondoka yalinijia,nikishauriana na wenzangu tuondoke.
1 comment:
KAKA NASHAURI PATA JENERETA NA KIWAMBO CHA KUZUIA SAUTI AU PATA JENERETA NA CABLE NDEFU UNAITUPA HUKO NA WEWE UNAENDELEA NA KAZI AU LA TANAESCO WATAFANYA OVAHED ZAKO KUWA KUBWA.KAZA BUTI KAKA.
Post a Comment