RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Sunday, September 6, 2009

JAMANI HAWA NDIO WASANII WA BONGO KATIKA KIKAO LAMADA


Wadau na wasanii na maproducer wakiwa katika kikao cha kutokomeza uharamia wa kazi zao,jamani tumechoka kuibiwa kazi zetu

1 comment:

ray said...

Jamani tutafika kweli swala hili mpaka lini????