RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Sunday, September 6, 2009

BAADHI YA WASANII WAKIJADILI MAMBO FULANI KABLA YA KUINGIA KWENYE KIKAO


Kama mnavyoona wasanii wa kiwanda cha movie Tanzania wakiwa na hasira za kuibiwa kazi zao,Single mtambalike(Richie)mwenye tisheti nyekundu,Mahsen awadh(Dr cheni) mwenye shati la blue lenye mistari na bishop mwenye shati la blue jamani imetosha sasa kuibiwa kazi zetu na sisi tunataka kuwa kama mastaa wa Hollywood...

No comments: