Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com
Wednesday, September 2, 2009
WELLCOME TO MY WORLD "RAY THE MOST GREAT"
Karibuni wadau katika blogu yangu hii, humu utapata kujua mambo mbalimbali yahusuyo mimi Ray "the most great" katika swala zima la Enterntiment expecial Movies na maisha kwa ujumla.
42 comments:
Anonymous
said...
Can I ask you kigosi when extrally you were born I mean a year like 76 77 78 pls specify
Vincentttttttt...hahahaha sijui nikuamkie ama vipi ila mwanao hapa ;-) hahaha...anyway nakupa salamu na karibu kwenye blogging...nice to see you kaka!! mwana wa c.hilary hapa if u dnt remember...haha
Hey people please if you wanna write in English try to do spell check before you post. Including you Ray "it is not expecial it is especially" And not "the most great" it is the greatest.also anon number one it is exactly not "extrally". Andikeni Kiswahili jamani kimombo kama hamjui acheni. Lulu, US
Nani alikuambia kwamba kijana ana sanifu kiingereza kwa kujiita "The Most Great"? Hili ni jina la kiusanii kama ulivyo usanii. hivyo msijifanye mnajua kukosa kila mkipata nafasi. AMa kweli Watanzania tunafikiri tunajua kila kitu. KIgosi sio mjinga vile lakini anajua anachoikifanya kiusanii. HUjaona movie mfano happyness badala ya happiness?
Zaidi basi sio vyema kila ukipata chance unakuwa ndio mtaalamu wa kurekebisha badala ya kuja na lakwako jipya. cha msingi hapa sio kufundishana lugha bali ni kuleta mawazo.
Kuna na mwingine analalamika eti akina Ray wanajipodoa. Sasa shida yako ni nini? wenzenu wanajiweka katika mazingira ya kazi yao na wewe unahangaika eti wanajipodoa. Mpe mawazo ya kuendeleza fani yake zaidi ya kuchimba hadi ndani ya roho ya mtu.
sasa mimi nisiwe kama waosha vinywa walio andika kukusoa tu, nina ka ushauri kwa ndugu Kigosi
Kwanza fanya jitihada uiweke blog yako kwenye chati ya blog zinazo vutia. Hii ni biashara bwana mdogo. Ukiwa juu mfano kwenye anga fulani usijipake tena mazizi pengine. Ma celebrities wanajua hili sana na ukitizama vitu vyao kuanzia mavazi / cribs/ usafiri / etc etc vyote ni vya juu. maana yake unajiuza kwenye anga za juu na sio kuleta blog hafifu hivi na unadhani utajitangaza kwa yenyewe. No that is not proper. Tafuta mchawi wa kutengeneza blog akutengenezee kitu kinacho hiti kilingane na jina lako.
Pili movies zenu zinanikera sana niseme ukweli. Zinanikera kwa sababu hazipo kwenye international standards. Sidhani kama mnaandaa scripts na kama ndio sijui kama mnaandaa scripts zinazoeleweka. Pili sidhani kama movies zenu zinafuata script na kama mnakuwa na director mzuri wa kuhakiki hili. Inanisikitisha kwani mimi ni mwandishi wa scripts na ni Director wa movies na I wish ningelikuja nyumbani huko ningeliwapeni ka darasa kadogo kwa haya maswala.
Tatu kimombo wanasema " you cant be the "jack of all trades" mana yake huwezi kuwa spana ya kufungulia kila nati (in simple term). kinachoshangaza utakuta basi mtu ni mchezaji / ni Director/ ni producer/ ni audio director / ni shooter/ etc etc hadi mpambaji na ni mtazamaji vilevile. Come-on brother. inawezekana vipi? jaribuni sana ku specialize na mtaona kazi zitakavyokuwa bora. Pia washirikishen wadau waliosomea na walio bobea kwenye kila fani na usijali kutoboka mfuko kwani at the end uki hit basi una hit kwelikweli
acha kutetea ujinga na ukweli lazima usemwe na ni kweli mipoda na migorogo wanaikandika vilivyo kinyaa tu ndo ucelebrity huo??? ovyoooo pakeni vipodozi vya ukweli na sio baby powder imani powder ingewakaa vyema mastar koko nyinyi
Kwa kweli kwanza hongera kwa jitihada ila bado safari ndioooo ndefuuuuu, nawashauri machache
1. igizeni uhalisia, Sio mtu tajiiiri wakati in the movie haionekani anafanya kazi gani, kipato n.k Hata maskani mnayoigizia yawe realistic
2. Urembo wa actors.actresses chagueni makeup artist mzuri
3. Tafuteni story zenye mivuto sio kaka wanijeria kila sinema mapenzi VS uchawi hamna theme nyingine
4. Profesionalism, Specialization kama alivyosema mdau hapo juu. Bobea kwenye kitu fulani sio producer wewe, recorder wewe, starr wewe, editor wewe looh Kusema Ukweli movie zetu zinabore na zinadumaza akili - u know exactly what will happen next ndio maana zinapendwa na mahousigeli na village people (sorry for this but i did a small statistical sampling kubaini hii)
Mwisho hatuitaji kuweka uzunguuuu mwingi kama hatuuwezi, mbona tukiigiza kwa lugha sanifu na maudhui yetu movie zitanunuliwa tuuu? kiingereza si ligha yetu na hata mnapoitumia mnaongea broken hadi kichefuchefu basi tugangamale na maudhui yetu, lugha yetu na sanaa zetu tuboreshe na hakika tutapata vitu quality
Pse men actors punguzeni kujichubua na mapoda kama chokaa usoni, u all look great jinsi mlivyo
Inataka moyo kua celebrity. Ayway value kila ushauri wa mtu na ufanyieni kazi tu. Lakini sio yote muyaone ya kweli, wengine wanachuki binafsi wangu. Big up wangu mmetoka mbali kweli yan now vitu vidogo visiwaumize sanaaaa. Thats life.Mungu myewe anapondwa.
Ray sawa bado nakupa big up,heee hee ila co the most great ni the greatest ila chukulia poa,wahindi hapa Osmania Univ wanakupa big up na mala tukicheki filamu zako wanafurahi leo wameniamsha kitandani kuja kucheki blog yako kweli umejitahidi sasa weka mambo mazuri zaidi,pia unawezaje kukutumia hiyo Divorce,
Ohhh kumbe nimechemsha nimesend as anonymous sasa ni Mr Denice wa Sindano Osmania University.denicesindano@yahoo.in,tuwasiliane pitia hiyo mail ili uweze nitumia hiyo Divorce,
kaka hao ni wa tz wanasema sana wanaponda sana lkn mwisho wa siku hawana jipya kumbuka ray kila zuri linaandaliwa kwahiyo ukitaka kutoa film mzuri lazima ujiandae kwa kila kitu wasanii,story,location na nk.bora utoe film moja kwa mwaka lkn iwe imwandalia vizuri kwani itauza vizuri na hapo ndipo utakapopata faida ya kazi yako.unajitahidi sana wewe na kanumba by kitu znz
kigosi mimi sikuelewi kwani nimemaliza na wewe kinondoni sec school mwaka 1994 kidato cha 4 sasa iweje uwe na miaka 29 mtu mwenye miaka 29 mwaka 1994 alikuwa darasa la saba acheni kuandika vitu vya uwongo katika blog kama amuwezi blog acheni
Ray linapenda misifa sana, ndio maana anasema Kanumba is great na yeye ni most great, kama kakosewa lugha ni sawa lakini kivyovyote vile anataka kuwa juu ya Kanumba. Mimi nadhani aendeleee kuwatafuta mama mazee kama kina DOTNATA Na wengineo ndio atajisikia yuko juu. yaani atakuwa juu kwa kuwalamba mama zake na sio juu kiusanii sisi watazamaji ndio tutakaowanyanyua, pumbaf zako!!
Ray wewe huna u-great wowote ule! Kwenye fani wewe bado mchanga sana na kwa kweli hamjaweza kuwavutia watu wengi!! Hizo mnazoita "movies" kwangu sidhani kama ni movies, bado ni michezo ya kuigiza (plays/drama) ambayo ipo below standards. Kwa watu wenye akili zao timamu hawaingii sokoni kununua hizo video zenu, ni watumishi wa ndani kutok avijijini na watoto ndio wanaziangalia....!! Msidanganywe na kuonekana kwenye magazeti ya udaku kila siku mkadhani huo ndio umaarufu!! Ushauri wangu inabidi muwatumie sana watu wenye taaluma hiyo kutengeneza movies, acheni kuiga na hakikisheni mnakuwa realistic!! Ray, kila movie nasikia wewe tajiri!! Kil amovie ni mapenzi tu...hamna theme nyingine??
movie hizi sikatai kwamba some of them ni nzuri but saa zingine the main story behind them haina mvuto at all...as for me,am in india and we get sooooo excited when we get movies toka home but jamani,yaani truthfully,the english sooooo poor that we can't even at times let kenyans watch them,its such a shame,aibu sana....some scenes pia are soo fake hadi tunakasirika,asking ourselves kwa nini we asked for the movies from home in the first place...hata movie za kihindi which are at times in hindi havn subtitle ni nzuri ile mbaaaya...pleeaze work on your movies...
Hivi huyu jamaa (Ray) anapitia hizi comments au ndio anaendeleza ujinga!? Vijana mna kazi ngumu sana. Watu wanatoa mawazo mazuri ya kuwasaidia kabla hamjawaboa zaidi na wakawashit then mkapotea kama wacheza maigizo wenzenu(mf Bambo).
Toa pesa utapata pesa. "Specialization" ni kitu cha muhimu sana. Wewe ni mchezaji, jikite huko, kuna watu wanauwezo na wamesomea "movie production" na wengine "sound", "script writing etc" watumieni, mtabadilika na mtakuwa juu siku zote. Acheni Ujuaji mwingi~mbele giza!
Ray pole sana. Hii blog yako ni mpya bado,kuwa makini sana na matusi yanayotumwa huku,pamoja na hizi COMMENTS ambozo kila mtu anaandika atakalo. nuulize michuzi matatizo aliyopata wakati akianza blog yake. Soma hizi comments wewe mwenyewe kabla ya ku post. Usitumie kiingereza kabisa humu ndani,maana ukichapia kila mtu ataponda kivyake. Mwisho-kaa chini ujipange upya kwenye blog hii.
MAZOEZI Ushauri wa bure kwa nyie kaka zangu, mazoezi fanyeni. Mi sioni kama unene ni deal au ndo kupendeza. Kuwa na umbo la wastani lililojengeka, simple and creative watu watakukubali tu. LUGHA kuweni specific na lugha mnazotumia,yah i beleive kingereza si lugha yetu na hata waliokizoea hukosea, lakini ni mbaya ikikosewa katika movie, so kama mnaona mnatamka kwa shida, au ni kukosa confidence basi bora mtumie lugha yetu. Japo ni njia ya kujifunza but sio kupitia movie zenu please. MAFUNZO Hao manowaona wana-act movie za maana nchi zingine hawalali, wanajifunza kila kukicha, so ni vema mkajifunza kupitia hao. mana movie zenu kwakweli bado zinahitaji kuitwa movie,u have a long way to go. fanyieni kazi hilo. UREMBO sielewi maana ya hizo poda zinazopakwa hadi kupitiliza. Muwe makini na hivo vipodozi mana vikizidi tunashindwa kuwaelewa tuwaweke katika kundi lipi. Sawa inaeza kuwa ndo u-star,lakini poda tu haitoshi, kuna mengi ya kurekebisha. Fanyia kazi hayo kaka. gemu ulishaliingia, umeshajitahidi ila naamini kupitia maoni utaongeza bidii zaidi.
actually your not so bad kivilee mnajitahidi jamani nisichopenda ni kuiga sana movie za kinigeria hasa mnapoongea wale watu mazingira yao, maisha yao hata rafudhi yao ni ukali ukali tu we are not like them please! maisha yetu watz sisi tuko polite tofauti na wao so mnapoigiza jaribuni kuangalia na mazingira yetu ili msadifu yaliyomo ktk maisha yetu ya kila siku. nafikiri tutazielewa vizuri movie zenu na zitakuwa kivutio.la sivyo mtatuletea utamaduni usio wetu na atuuhitazi kwani wetu ni bora zaidi dunian kote.
we ray huna ugreat wala ugreatest afadhali huyo changu mwenzako kanumba kuliko wewe kwanza kwenye movie huwa unapayuka ropoka yaani unaigiza ngonjera no wonder kuna siku ze comedy walikukopi huo upuuzi wako ovyooo ni mara mia mngeenda hata kozi mmpate idea kuliko mjidai ati mna vipaji wakati movie zenu ni maigizo bin ngonjera by the way kanumba yuko juu kuliko wewe hilo halina ubishi katika fani yenu ya maigizo
Ray niliona ile sijui ndio movie inaitwa From Dar to Lagos, nilikuwa naficha uso kwa aibu, hivi mko serious au mnataka kutukashfu, yaani ulichemsha mno kiingereza kabisa, yaani ushauri wa bure tafadhali fanya fanya basi hata English course ili uweleweke saa nyingine, it was really bad, i mean seriously really bad. -Maggie.
hawa maimuna wanang'ang'aniza kweli kiinglish ukiwakosoa tu kuna manunda wenzao kutwa kuwatetea sasa uspowakosoa watajifunzajeeeee kanumba naye ndo uspime maimuna mkubwa muende kwa kozi kama mwanawani mbona anakwenda na ameimprove jamani elimu haina mwisho mnatia kinyaa ni bora msiongee katika hayo maigizo yenu manake mnavyokikremu hadi mnasweat wakati wa kuongea mtadhani mnatafuna kokoto
Ray naomba nikwambie kitu, unapoianza safari, watakutia moyo.... unapoonyesha mafanikio watainua vikwazo... lakini je tujiulize hivyo vikwaza wanavyoviinua vina ukweli????? SIO SIRI ray unavyogiza sasa hivi ni bora hata zamani, pokea maoni yetu then fanyia kazi. RAY Kuna film nimeicheki PIECE OF MIND Aisee mmeshuka kinoma swahiba story ni nzuri sana lakini ray haukuwa serios, yani confidence zako zimepitiliza. wewe hujioni??? la pili kuhusu hao madada johari na mwenzie uwoya jamani toka movie imeanza maweaving waliyoshonea ni yale yale yamepaukaaaaaaaaaaaa yani maisha yao yote miweaving ileile yani KHA!! Kamavipi muwe mnakuja saloon kwangu najitolea kuwapamba bureee kwa kuwa mimi mwenyewe ni msanii. tatu LUgha jamani kama ile mloigiza na kina wahindi wale, ray mshkaji lugha umechemsha waziwazi, mbaya mtu wangu, mapouuuuuuuuudo punguzeni jamani, mwajiremba sana, hiyo opra kanumba kapaka na wanja jamani kweli ndio wanaume wetu wa bongo ndivyo mlivyo??? LINGINE NI KUHUSU NYUMBA. kwani nyumba nzuri hapa bongo ni moja tu????? kila film nyumba ileile. badilisheni nyumba ray tatu mimi ni mtunzi wa film, na mwandishi wa script, nishawahi kucheza tangazo la NMB Bank na dude na checkbud, walinikubali, sema tu! kwa sasa kazi zimenitinga sana, lakini bado napenda sanaa. pokea maoni ray utafika mbali wangu.. usichukie maoni yetu, hatukukandyiiii kiviiiile ila tunakukosoa ili ujirekebishe, kwa maoni zaidi kama utahitaji tumia viot3fem@yahoo.co.uk. badilika Ray, badilika kaka yangu, ni kweli wanasema ''thing but confindence'' lakini kumbuka pia, ''something too much is harmful'' kaza buti kaka msiuze jina wala sura uzeni kazi
Ray umezidi kuringa,, najazia kama alivyosema huyo mdau hapo juu, Ray ile picha ya kihindi nilivyonunua ile cd yenu nikaingalia,nilikuwa natamani iishe mapema ili niigawe... na huwezi kuamini niliigawa, Ray kuna lile pensi kubwaaaaaa la draft na lile t'shirt, umelivaa kila mara mtu wangu, na zile raba..... badilikeni jamani, mbona pamba za kiume ziko nyinga sana... halafu mkitoka msijisahau na kudharau wengine nasikia ktk wasanii wakiume mwenye nyodo ni wewe akija mtu kukutaka ili wewe ucheze nae hata kwa kulipwa wewe unaangali mtu kwanza kama anahit, hiyo haisaidii, kubali kucheza na watu tofaut utapata wasanii wazuri kushinda hata huyo johari uwoya na ant ezekiel, japo nao ni wazuri lakini kwa kufanya hivyo utajipatia watu watakaoukuinua zaidi, jitahidi ray utafika mbali sanaa mtu wangu
Ray nakushauri ufunge Blog maana kwa kweli hujui maana ya kuwa na blog, na uache kabisa ulimbukeni wako wa kinyasa. Hao unawaona wana blog kubwa kubwa ni watu wenye heshima kwa jamii sio wapaka poda na warembua macho,wanajua wanachokifanya sio wewe ulianzishiwa blog unaweka picha za 2008,unafikiri ni kuuza sura kila sehemu ?, wauzie huko huko bongo,toa taka taka zako kwenye enternet.
Pls Ray do something kwenye comment moderation usiache kila comment ipite hewani wengine ni wapumbavu badala ya kukuelekeza wanakueleza chuki zao juu yako.
Wewe ni mmoja kati ya watu walioifikisha industry ya filamu hapa ilipo wakubali wakatae.
Chuki zao ni kwasababu tangu wazaliwe hawajawahi kufanya kitu cha maana kilichomsaidia mtu yeyote.
So cheki tena comment usiwaache hawa wanaozungumzia poda badala ya kukushauri ufanye nini.
Keep it up brother watu wenye akili tunakusuporrt na kukukubali kwa kujituma kwako acha wao wauze maneno
Mkiambiwa muende kiingereza hamkijui mnakuja juu hamna kitu kama 'the most great' umechapia kwenye datives kuna great, greater than, the greatest kwa hiyo kama wewe ni Ray the greatest acha ubishi kaka edit makosa kabla hawajakubandika kwenye magazeti ya udaku ukalalamika
Kaka hongera sana na pole kwa waosha vinywa hao wanaojifanya wao ndio waongeaji saana. Mi naomba niongelee hili swala la Lugha kidogo, hivi aliyeewaambia kutojua English ni Ushamba ni nani? jamani jamani WaTanzania wenzangu naomba tuliangalie ili swala kwa umakini, tumechoka na hayo maneno yenu kila siku sijui huyu hajui lugha sijui huyu hajui kuva nani kwa kuambia wewe? sasa mbona wewe unayejifanya unajua sana kuongea na kuandika kingeleza mbona hujui kijerumani na hatukucheki? Nyinyi ndio wale niliowaona kwenye show moja inaitwa skonga ya eatv, vijana watanashati bna tena shule yao ni moja ya shule maarufu sana hapa tz tena zimetapakaa kila pembe, lakini wanaosoma hapo wanajua lugha ya kigeni tu masomo ziro, kiasi cha kuleta aibu kabisa eti mtoto wa High Skul hajui Mji wa Jinja unapatikana katika nchi gani ya Afrika Mashariki. WaTanzania mmekuwa na kasumba sana ya kuchekana pasipo fikra yakinifu.na hiyo ndio imekuwa sababu kubwa ya kufanya watu wasijue kuongea ama kuandika lugha za kigeni yoote ni sababu ya waosha vinywa, eti kuna watu wamekaa kabisa katika studio zao za radio na kwenye madawati ya habari huko magazetini eti kuongelea ama kuandikakuwa fulani ameongea kiingeleza kibovu somewhere,wewe inakuhusu? je hao aliokuwa nao kule hawajamuelewa alichotaka kukiexpress kwao? wewe je hukumuelewa hata kama kiingeleza chake kilikuwa kibovu? Ujinga huu nimeuona hapa kwetu tu lakini sijawahi kuuona sehemu yeyote nyingine nilizowahi kutembelea hapa duniani. Kutojua Lugha ya kigeni si kosa ila tu labda yaweza kuwa faida kwako, tena kama shughuli zako zinahusina na mambo ya kimataifa zaidi lakini kama wewe ni Mzalendo zaidi na shughuli zako zinategemea soko la ndani kwa asilimia zote hapo lugha ya kigeni ina faida zipi? Lugha ni njia ya mawasiliano tu, kama mlichoambizana mmeelewana basi imetosha, isipokuwa kama kuna mashindano ya lugha hapo sawa. Ila kaka Ray kuna watu wameongelea issue ya kujipodoa sana, hapo mimi sijui ila nilivyoanza kukuona hapo mwanzo kwa kweli kuna kautofauti kiaina mimi ushauri wangu ni kuwa kama huko kutakata ni kwa sababu ya Neema tu iliyokutembelea achana nao ila kama ndio yale mambo fulani plz punguza kaka, utaaharibu. Mwisho hongera sana kwa mafanikio uliyofikia mapaka hapo japo mnaibiwa saana tu kama mnavyolalamika ila si haba maana sidhani kama hako kaofisi kamepatikana kwa fedha za shamba la urithi ila nadhani ni kwa hizo hizo ndogo ndogo unazozipata kwenye filamu au sio kaka? Ofisi ipo wapi hiyo tuje tulete kazi kaka, umesahau kuacha ka address.
we Big acha sifa yani mwanaume unajigonga hivyo utapumuliwa kisogoni weye.hizo nchi nyingine ulizotembelea zipi Uganda ? Ishia huko wacha watu watoe mashauri yao,mnaishaua tu mnayemponda do yie nyie wasanii wenzie,hovyoooo
kaka inakuwaje ,ebana pole sana naona kila mtu anaingia kukuponda ila ndio hivyo ,kwenye safari ya mafanikio ujue utapanda na watu mbalimbali,maadui watakuwa wengi kuliko marafiki,ila usipuuzee ushauri unaotolewa na wadau hapa,mi ushauri wangu ni kidogo tu,ili blogs iwe up to date,jaribu kuwa na network na wadau mbalimbali wa nchi nzima kwa ajili ya kukupa yanayojiri huko mikoani na katika jamii kwa ujumla ili blogs iwe inahabari mpya na on-time kila siku,upande wa filamu ukiangali mlipotoka kweli hatua mmepiga,big up ndugu yangu.
wewe Lulu kwani tunaandika composition as long as u understand the rest doesn't matter au ulitaka tu watu wajue na wewe unajua spellings za words thats childish what is English by the way its just an imported language and human is to error yeah!kama una feel unajua sana nenda kafundishe Nursery school
wewe wacha kuchemsha what is HUMAN IS TO ERROR loh si muache ku comment kama hamuwezi kuandika,sasa wewe ndiyo unatakiwa kufundishwa na lulu huko chekechea,big up ray wacha waseme wanchotaka wanatoa stress zao hapa.
big up sana m2 mzima c unajua wabongo hawakosi baya la kuongea kila siku tuna angalia mabaya ya wa2 2 tuangalie na mazuri basi BIG UP SAAAAAAAAAAAAA KAKA
42 comments:
Can I ask you kigosi when extrally you were born I mean a year like 76 77 78 pls specify
mwanangu nakukubali sana lakini wanangu mnajipodoa sana nyinyi kausheni kama vipi mapodozi ila kwa muvi tu nakukubali ray
Vincentttttttt...hahahaha sijui nikuamkie ama vipi ila mwanao hapa ;-) hahaha...anyway nakupa salamu na karibu kwenye blogging...nice to see you kaka!! mwana wa c.hilary hapa if u dnt remember...haha
Mimi ni mpenzi mkubwa wa movies zako,lakini kidogo fanya mazoezi ya viungo,usijiachie ukanenepa sana.
Hey people please if you wanna write in English try to do spell check before you post. Including you Ray "it is not expecial it is especially" And not "the most great" it is the greatest.also anon number one it is exactly not "extrally". Andikeni Kiswahili jamani kimombo kama hamjui acheni.
Lulu, US
Mnanikera tu na kujipodoa ndugu zangu,du mapoooooouda kwa sana ni so.
The most great si "kiingereza sahihi"...ulitakiwa kuandika "the greatest". Tunarekebishana..kama hutaki kataa, lakini habari ndio hio..
Nani alikuambia kwamba kijana ana sanifu kiingereza kwa kujiita "The Most Great"? Hili ni jina la kiusanii kama ulivyo usanii. hivyo msijifanye mnajua kukosa kila mkipata nafasi. AMa kweli Watanzania tunafikiri tunajua kila kitu. KIgosi sio mjinga vile lakini anajua anachoikifanya kiusanii. HUjaona movie mfano happyness badala ya happiness?
Zaidi basi sio vyema kila ukipata chance unakuwa ndio mtaalamu wa kurekebisha badala ya kuja na lakwako jipya. cha msingi hapa sio kufundishana lugha bali ni kuleta mawazo.
Kuna na mwingine analalamika eti akina Ray wanajipodoa. Sasa shida yako ni nini? wenzenu wanajiweka katika mazingira ya kazi yao na wewe unahangaika eti wanajipodoa. Mpe mawazo ya kuendeleza fani yake zaidi ya kuchimba hadi ndani ya roho ya mtu.
sasa mimi nisiwe kama waosha vinywa walio andika kukusoa tu, nina ka ushauri kwa ndugu Kigosi
Kwanza fanya jitihada uiweke blog yako kwenye chati ya blog zinazo vutia. Hii ni biashara bwana mdogo. Ukiwa juu mfano kwenye anga fulani usijipake tena mazizi pengine. Ma celebrities wanajua hili sana na ukitizama vitu vyao kuanzia mavazi / cribs/ usafiri / etc etc vyote ni vya juu. maana yake unajiuza kwenye anga za juu na sio kuleta blog hafifu hivi na unadhani utajitangaza kwa yenyewe. No that is not proper. Tafuta mchawi wa kutengeneza blog akutengenezee kitu kinacho hiti kilingane na jina lako.
Pili movies zenu zinanikera sana niseme ukweli. Zinanikera kwa sababu hazipo kwenye international standards. Sidhani kama mnaandaa scripts na kama ndio sijui kama mnaandaa scripts zinazoeleweka. Pili sidhani kama movies zenu zinafuata script na kama mnakuwa na director mzuri wa kuhakiki hili. Inanisikitisha kwani mimi ni mwandishi wa scripts na ni Director wa movies na I wish ningelikuja nyumbani huko ningeliwapeni ka darasa kadogo kwa haya maswala.
Tatu kimombo wanasema " you cant be the "jack of all trades" mana yake huwezi kuwa spana ya kufungulia kila nati (in simple term). kinachoshangaza utakuta basi mtu ni mchezaji / ni Director/ ni producer/ ni audio director / ni shooter/ etc etc hadi mpambaji na ni mtazamaji vilevile. Come-on brother. inawezekana vipi? jaribuni sana ku specialize na mtaona kazi zitakavyokuwa bora. Pia washirikishen wadau waliosomea na walio bobea kwenye kila fani na usijali kutoboka mfuko kwani at the end uki hit basi una hit kwelikweli
acha kutetea ujinga na ukweli lazima usemwe na ni kweli mipoda na migorogo wanaikandika vilivyo kinyaa tu ndo ucelebrity huo??? ovyoooo pakeni vipodozi vya ukweli na sio baby powder imani powder ingewakaa vyema mastar koko nyinyi
Kwa kweli kwanza hongera kwa jitihada ila bado safari ndioooo ndefuuuuu, nawashauri machache
1. igizeni uhalisia, Sio mtu tajiiiri wakati in the movie haionekani anafanya kazi gani, kipato n.k Hata maskani mnayoigizia yawe realistic
2. Urembo wa actors.actresses chagueni makeup artist mzuri
3. Tafuteni story zenye mivuto sio kaka wanijeria kila sinema mapenzi VS uchawi hamna theme nyingine
4. Profesionalism, Specialization kama alivyosema mdau hapo juu. Bobea kwenye kitu fulani sio producer wewe, recorder wewe, starr wewe, editor wewe looh
Kusema Ukweli movie zetu zinabore na zinadumaza akili - u know exactly what will happen next ndio maana zinapendwa na mahousigeli na village people (sorry for this but i did a small statistical sampling kubaini hii)
Mwisho hatuitaji kuweka uzunguuuu mwingi kama hatuuwezi, mbona tukiigiza kwa lugha sanifu na maudhui yetu movie zitanunuliwa tuuu? kiingereza si ligha yetu na hata mnapoitumia mnaongea broken hadi kichefuchefu basi tugangamale na maudhui yetu, lugha yetu na sanaa zetu tuboreshe na hakika tutapata vitu quality
Pse men actors punguzeni kujichubua na mapoda kama chokaa usoni, u all look great jinsi mlivyo
Inataka moyo kua celebrity. Ayway value kila ushauri wa mtu na ufanyieni kazi tu. Lakini sio yote muyaone ya kweli, wengine wanachuki binafsi wangu. Big up wangu mmetoka mbali kweli yan now vitu vidogo visiwaumize sanaaaa. Thats life.Mungu myewe anapondwa.
Ray sawa bado nakupa big up,heee hee ila co the most great ni the greatest ila chukulia poa,wahindi hapa Osmania Univ wanakupa big up na mala tukicheki filamu zako wanafurahi leo wameniamsha kitandani kuja kucheki blog yako kweli umejitahidi sasa weka mambo mazuri zaidi,pia unawezaje kukutumia hiyo Divorce,
Ohhh kumbe nimechemsha nimesend as anonymous sasa ni Mr Denice wa Sindano Osmania University.denicesindano@yahoo.in,tuwasiliane pitia hiyo mail ili uweze nitumia hiyo Divorce,
kaka hao ni wa tz wanasema sana wanaponda sana lkn mwisho wa siku hawana jipya kumbuka ray kila zuri linaandaliwa kwahiyo ukitaka kutoa film mzuri lazima ujiandae kwa kila kitu wasanii,story,location na nk.bora utoe film moja kwa mwaka lkn iwe imwandalia vizuri kwani itauza vizuri na hapo ndipo utakapopata faida ya kazi yako.unajitahidi sana wewe na kanumba by kitu znz
kigosi mimi sikuelewi kwani nimemaliza na wewe kinondoni sec school mwaka 1994 kidato cha 4 sasa iweje uwe na miaka 29 mtu mwenye miaka 29 mwaka 1994 alikuwa darasa la saba acheni kuandika vitu vya uwongo katika blog kama amuwezi blog acheni
ulipaswa kuandika "welcome" siyo "WELLCOME"...
Ray linapenda misifa sana, ndio maana anasema Kanumba is great na yeye ni most great, kama kakosewa lugha ni sawa lakini kivyovyote vile anataka kuwa juu ya Kanumba. Mimi nadhani aendeleee kuwatafuta mama mazee kama kina DOTNATA Na wengineo ndio atajisikia yuko juu. yaani atakuwa juu kwa kuwalamba mama zake na sio juu kiusanii sisi watazamaji ndio tutakaowanyanyua, pumbaf zako!!
Ray wewe huna u-great wowote ule! Kwenye fani wewe bado mchanga sana na kwa kweli hamjaweza kuwavutia watu wengi!! Hizo mnazoita "movies" kwangu sidhani kama ni movies, bado ni michezo ya kuigiza (plays/drama) ambayo ipo below standards. Kwa watu wenye akili zao timamu hawaingii sokoni kununua hizo video zenu, ni watumishi wa ndani kutok avijijini na watoto ndio wanaziangalia....!! Msidanganywe na kuonekana kwenye magazeti ya udaku kila siku mkadhani huo ndio umaarufu!! Ushauri wangu inabidi muwatumie sana watu wenye taaluma hiyo kutengeneza movies, acheni kuiga na hakikisheni mnakuwa realistic!! Ray, kila movie nasikia wewe tajiri!! Kil amovie ni mapenzi tu...hamna theme nyingine??
movie hizi sikatai kwamba some of them ni nzuri but saa zingine the main story behind them haina mvuto at all...as for me,am in india and we get sooooo excited when we get movies toka home but jamani,yaani truthfully,the english sooooo poor that we can't even at times let kenyans watch them,its such a shame,aibu sana....some scenes pia are soo fake hadi tunakasirika,asking ourselves kwa nini we asked for the movies from home in the first place...hata movie za kihindi which are at times in hindi havn subtitle ni nzuri ile mbaaaya...pleeaze work on your movies...
Hivi huyu jamaa (Ray) anapitia hizi comments au ndio anaendeleza ujinga!? Vijana mna kazi ngumu sana. Watu wanatoa mawazo mazuri ya kuwasaidia kabla hamjawaboa zaidi na wakawashit then mkapotea kama wacheza maigizo wenzenu(mf Bambo).
Toa pesa utapata pesa. "Specialization" ni kitu cha muhimu sana. Wewe ni mchezaji, jikite huko, kuna watu wanauwezo na wamesomea "movie production" na wengine "sound", "script writing etc" watumieni, mtabadilika na mtakuwa juu siku zote. Acheni Ujuaji mwingi~mbele giza!
the most great wapi weweeeeeeee
Ray, so far thats your standard as time goes you will keep on improving and be your own number one support.
Ray pole sana.
Hii blog yako ni mpya bado,kuwa makini sana na matusi yanayotumwa huku,pamoja na hizi COMMENTS ambozo kila mtu anaandika atakalo.
nuulize michuzi matatizo aliyopata wakati akianza blog yake.
Soma hizi comments wewe mwenyewe kabla ya ku post.
Usitumie kiingereza kabisa humu ndani,maana ukichapia kila mtu ataponda kivyake.
Mwisho-kaa chini ujipange upya kwenye blog hii.
Kuwa makini kaka.
MAZOEZI
Ushauri wa bure kwa nyie kaka zangu, mazoezi fanyeni. Mi sioni kama unene ni deal au ndo kupendeza. Kuwa na umbo la wastani lililojengeka, simple and creative watu watakukubali tu.
LUGHA
kuweni specific na lugha mnazotumia,yah i beleive kingereza si lugha yetu na hata waliokizoea hukosea, lakini ni mbaya ikikosewa katika movie, so kama mnaona mnatamka kwa shida, au ni kukosa confidence basi bora mtumie lugha yetu. Japo ni njia ya kujifunza but sio kupitia movie zenu please.
MAFUNZO
Hao manowaona wana-act movie za maana nchi zingine hawalali, wanajifunza kila kukicha, so ni vema mkajifunza kupitia hao. mana movie zenu kwakweli bado zinahitaji kuitwa movie,u have a long way to go. fanyieni kazi hilo.
UREMBO
sielewi maana ya hizo poda zinazopakwa hadi kupitiliza. Muwe makini na hivo vipodozi mana vikizidi tunashindwa kuwaelewa tuwaweke katika kundi lipi. Sawa inaeza kuwa ndo u-star,lakini poda tu haitoshi, kuna mengi ya kurekebisha.
Fanyia kazi hayo kaka. gemu ulishaliingia, umeshajitahidi ila naamini kupitia maoni utaongeza bidii zaidi.
actually your not so bad kivilee mnajitahidi jamani nisichopenda ni kuiga sana movie za kinigeria hasa mnapoongea wale watu mazingira yao, maisha yao hata rafudhi yao ni ukali ukali tu we are not like them please! maisha yetu watz sisi tuko polite tofauti na wao so mnapoigiza jaribuni kuangalia na mazingira yetu ili msadifu yaliyomo ktk maisha yetu ya kila siku. nafikiri tutazielewa vizuri movie zenu na zitakuwa kivutio.la sivyo mtatuletea utamaduni usio wetu na atuuhitazi kwani wetu ni bora zaidi dunian kote.
we ray huna ugreat wala ugreatest afadhali huyo changu mwenzako kanumba kuliko wewe kwanza kwenye movie huwa unapayuka ropoka yaani unaigiza ngonjera no wonder kuna siku ze comedy walikukopi huo upuuzi wako ovyooo ni mara mia mngeenda hata kozi mmpate idea kuliko mjidai ati mna vipaji wakati movie zenu ni maigizo bin ngonjera by the way kanumba yuko juu kuliko wewe hilo halina ubishi katika fani yenu ya maigizo
Ray niliona ile sijui ndio movie inaitwa From Dar to Lagos, nilikuwa naficha uso kwa aibu, hivi mko serious au mnataka kutukashfu, yaani ulichemsha mno kiingereza kabisa, yaani ushauri wa bure tafadhali fanya fanya basi hata English course ili uweleweke saa nyingine, it was really bad, i mean seriously really bad.
-Maggie.
hawa maimuna wanang'ang'aniza kweli kiinglish ukiwakosoa tu kuna manunda wenzao kutwa kuwatetea sasa uspowakosoa watajifunzajeeeee kanumba naye ndo uspime maimuna mkubwa muende kwa kozi kama mwanawani mbona anakwenda na ameimprove jamani elimu haina mwisho mnatia kinyaa ni bora msiongee katika hayo maigizo yenu manake mnavyokikremu hadi mnasweat wakati wa kuongea mtadhani mnatafuna kokoto
big up ray
Ray naomba nikwambie kitu,
unapoianza safari, watakutia moyo....
unapoonyesha mafanikio watainua vikwazo...
lakini je tujiulize hivyo vikwaza wanavyoviinua vina ukweli?????
SIO SIRI ray unavyogiza sasa hivi ni bora hata zamani, pokea maoni yetu then fanyia kazi.
RAY Kuna film nimeicheki PIECE OF MIND
Aisee mmeshuka kinoma swahiba
story ni nzuri sana lakini ray haukuwa serios, yani confidence zako zimepitiliza. wewe hujioni???
la pili kuhusu hao madada
johari na mwenzie uwoya
jamani toka movie imeanza maweaving waliyoshonea ni yale yale yamepaukaaaaaaaaaaaa
yani maisha yao yote miweaving ileile yani KHA!! Kamavipi muwe mnakuja saloon kwangu najitolea kuwapamba bureee kwa kuwa mimi mwenyewe ni msanii. tatu LUgha jamani kama ile mloigiza na kina wahindi wale, ray mshkaji lugha umechemsha waziwazi, mbaya mtu wangu,
mapouuuuuuuuudo punguzeni jamani, mwajiremba sana, hiyo opra kanumba kapaka na wanja jamani kweli ndio wanaume wetu wa bongo ndivyo mlivyo???
LINGINE NI KUHUSU NYUMBA. kwani nyumba nzuri hapa bongo ni moja tu?????
kila film nyumba ileile. badilisheni nyumba ray
tatu mimi ni mtunzi wa film, na mwandishi wa script, nishawahi kucheza tangazo la NMB Bank na dude na checkbud, walinikubali, sema tu! kwa sasa kazi zimenitinga sana, lakini bado napenda sanaa. pokea maoni ray utafika mbali wangu.. usichukie maoni yetu, hatukukandyiiii kiviiiile ila tunakukosoa ili ujirekebishe, kwa maoni zaidi kama utahitaji tumia viot3fem@yahoo.co.uk.
badilika Ray, badilika kaka yangu, ni kweli wanasema ''thing but confindence'' lakini kumbuka pia, ''something too much is harmful''
kaza buti kaka msiuze jina wala sura uzeni kazi
Ray umezidi kuringa,, najazia kama alivyosema huyo mdau hapo juu, Ray ile picha ya kihindi nilivyonunua ile cd yenu nikaingalia,nilikuwa natamani iishe mapema ili niigawe... na huwezi kuamini niliigawa,
Ray kuna lile pensi kubwaaaaaa la draft na lile t'shirt, umelivaa kila mara mtu wangu, na zile raba..... badilikeni jamani, mbona pamba za kiume ziko nyinga sana...
halafu mkitoka msijisahau na kudharau wengine
nasikia ktk wasanii wakiume mwenye nyodo ni wewe
akija mtu kukutaka ili wewe ucheze nae hata kwa kulipwa wewe unaangali mtu kwanza kama anahit, hiyo haisaidii, kubali kucheza na watu tofaut
utapata wasanii wazuri kushinda hata huyo johari uwoya na ant ezekiel,
japo nao ni wazuri
lakini kwa kufanya hivyo utajipatia watu watakaoukuinua zaidi, jitahidi ray utafika mbali sanaa mtu wangu
usidharau maoni yetu,
wala usichukie
fanyia kazi baba
Ray nakushauri ufunge Blog maana kwa kweli hujui maana ya kuwa na blog, na uache kabisa ulimbukeni wako wa kinyasa.
Hao unawaona wana blog kubwa kubwa ni watu wenye heshima kwa jamii sio wapaka poda na warembua macho,wanajua wanachokifanya sio wewe ulianzishiwa blog unaweka picha za 2008,unafikiri ni kuuza sura kila sehemu ?, wauzie huko huko bongo,toa taka taka zako kwenye enternet.
Pls Ray do something kwenye comment moderation usiache kila comment ipite hewani wengine ni wapumbavu badala ya kukuelekeza wanakueleza chuki zao juu yako.
Wewe ni mmoja kati ya watu walioifikisha industry ya filamu hapa ilipo wakubali wakatae.
Chuki zao ni kwasababu tangu wazaliwe hawajawahi kufanya kitu cha maana kilichomsaidia mtu yeyote.
So cheki tena comment usiwaache hawa wanaozungumzia poda badala ya kukushauri ufanye nini.
Keep it up brother watu wenye akili tunakusuporrt na kukukubali kwa kujituma kwako acha wao wauze maneno
Mkiambiwa muende kiingereza hamkijui mnakuja juu hamna kitu kama 'the most great' umechapia kwenye datives kuna great, greater than, the greatest kwa hiyo kama wewe ni Ray the greatest acha ubishi kaka edit makosa kabla hawajakubandika kwenye magazeti ya udaku ukalalamika
DU KAKA KWELI UMEPONDWA BUT NDO HIVYO FANYIA KAZI AU SIYOOO NA HAYO MAPOWDERAAAAA PUNGUZA
Kaka hongera sana na pole kwa waosha vinywa hao wanaojifanya wao ndio waongeaji saana. Mi naomba niongelee hili swala la Lugha kidogo, hivi aliyeewaambia kutojua English ni Ushamba ni nani?
jamani jamani WaTanzania wenzangu naomba tuliangalie ili swala kwa umakini, tumechoka na hayo maneno yenu kila siku sijui huyu hajui lugha sijui huyu hajui kuva nani kwa kuambia wewe? sasa mbona wewe unayejifanya unajua sana kuongea na kuandika kingeleza mbona hujui kijerumani na hatukucheki? Nyinyi ndio wale niliowaona kwenye show moja inaitwa skonga ya eatv, vijana watanashati bna tena shule yao ni moja ya shule maarufu sana hapa tz tena zimetapakaa kila pembe, lakini wanaosoma hapo wanajua lugha ya kigeni tu masomo ziro, kiasi cha kuleta aibu kabisa eti mtoto wa High Skul hajui Mji wa Jinja unapatikana katika nchi gani ya Afrika Mashariki. WaTanzania mmekuwa na kasumba sana ya kuchekana pasipo fikra yakinifu.na hiyo ndio imekuwa sababu kubwa ya kufanya watu wasijue kuongea ama kuandika lugha za kigeni yoote ni sababu ya waosha vinywa, eti kuna watu wamekaa kabisa katika studio zao za radio na kwenye madawati ya habari huko magazetini eti kuongelea ama kuandikakuwa fulani ameongea kiingeleza kibovu somewhere,wewe inakuhusu? je hao aliokuwa nao kule hawajamuelewa alichotaka kukiexpress kwao? wewe je hukumuelewa hata kama kiingeleza chake kilikuwa kibovu? Ujinga huu nimeuona hapa kwetu tu lakini sijawahi kuuona sehemu yeyote nyingine nilizowahi kutembelea hapa duniani. Kutojua Lugha ya kigeni si kosa ila tu labda yaweza kuwa faida kwako, tena kama shughuli zako zinahusina na mambo ya kimataifa zaidi lakini kama wewe ni Mzalendo zaidi na shughuli zako zinategemea soko la ndani kwa asilimia zote hapo lugha ya kigeni ina faida zipi? Lugha ni njia ya mawasiliano tu, kama mlichoambizana mmeelewana basi imetosha, isipokuwa kama kuna mashindano ya lugha hapo sawa.
Ila kaka Ray kuna watu wameongelea issue ya kujipodoa sana, hapo mimi sijui ila nilivyoanza kukuona hapo mwanzo kwa kweli kuna kautofauti kiaina mimi ushauri wangu ni kuwa kama huko kutakata ni kwa sababu ya Neema tu iliyokutembelea achana nao ila kama ndio yale mambo fulani plz punguza kaka, utaaharibu. Mwisho hongera sana kwa mafanikio uliyofikia mapaka hapo japo mnaibiwa saana tu kama mnavyolalamika ila si haba maana sidhani kama hako kaofisi kamepatikana kwa fedha za shamba la urithi ila nadhani ni kwa hizo hizo ndogo ndogo unazozipata kwenye filamu au sio kaka? Ofisi ipo wapi hiyo tuje tulete kazi kaka, umesahau kuacha ka address.
Mdau
J.Big

Post a Comment