RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Wednesday, September 2, 2009

THE NEW ACTRESS IN TOWN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Wadau kaeni mkao wa kula RJ Company Tanzania Ltd inashuka na actress wa ukweli
Jina:...... Movie:......
Hivyo basi kaeni mkitulia na kusubiri mambo mazuri kutoka kwa huyu dada.

6 comments:

Anonymous said...

kuingia kwenye sanaa basi umeanza kuaa uchi. subiri wakianza kukuzungukia kila mtu lazima atapita apo.

Anonymous said...

kiungo chake mwenyewe kwani wewe wakitaka nini!!!!!!!!!!!!!!

showroom said...

Ray pole sana.
Hii blog yako ni mpya bado,kuwa makini sana na matusi yanayotumwa huku,pamoja na hizi COMMENTS ambozo kila mtu anaandika atakalo.
nuulize michuzi matatizo aliyopata wakati akianza blog yake.
Soma hizi comments wewe mwenyewe kabla ya ku post.
Usitumie kiingereza kabisa humu ndani,maana ukichapia kila mtu ataponda kivyake.
Mwisho-kaa chini ujipange upya kwenye blog hii.

Kuwa makini kaka.

Anonymous said...

wewe nyoko hapo juu yangu acha kujidai wewe ni full muungwana ati ray kuwa makini bla bla bla kwani si anapewa ukweli wajiimarishe katika maigizo yao na wasitumie mikorogo mipoda iliyopitiliza na umalaya kuna ukimwi sasa hapo tatizo liko wapi unazunguka huku na kule kutuma huu upuuzi kenge mfu wahed wewe showroom

Anonymous said...

Ni kweli kabisa, huyo showroom hapo juu eti Ray pole, Ray nyie mnasikilizaga wajinga kama hao hapo juu wanaowapa pole ndio wanawajaza ujinga, ukweli lazima usemwe na sio suala la wivu, wivu wa nini wakati mimi kuact siwezi na wala siwazii hicho kitu, utamaduni wa kitanzania wa kusifiana ujinga muache. Umefungua blog kwa watu wote, na utapata comments za aina nyingi, nyingi ni za kufundisha pia, kwa hiyo uexpect makombora once in a while.

Anonymous said...

wewe dada kujilaza namna hiyo kwenye picha ya kuwekwa kwenye blog ndio nini?

Utaingiziwa kila chenye kupenya kwa staili hiyo - sanaa sio kukaa uchi mdogo wangu wa kike, nawaonea huruma sana na huo ulimbukeni wa bongo - mnaangalia movie wa watu wengine kweli nyie ????

Endelea kujilaza namna hiyo na hiyo ni ishara nzuri kwa watumia tigo maana unaonesha unaweza mambo hayo ya extreme na kama unajua ushatobolewa kila sehemu nakushauri kwenye enternet sio sehemu bora ya kujitangaza kama mttanzania sio utamaduni wetu kulala lala matako juu kutaka kutobolewa!