RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Thursday, September 10, 2009

MUDA MFUPI BAADA KANUMBA YA KUWASILI KUTOKA SOUTH AFRIKA BBA 4




Ilikuwa ni muda mfupi baada ya kutua ndani ya bongo kutoka south  afrika,Kanumba akiwa na baadhi ya maactress ndani ya Hotel ya Tamal alikofanyiwa pati na wasanii wenzake,mwana alitoka bomba sana

4 comments:

Anonymous said...

naomba nianze na kutoa masikitiko yangu makubwa juu ya watanzania wenzetu ambao hawapendi maendeleo ya watanzania wenzao, ni juu ya kashfa zilizotolewa juu ya kanumba. naomba niulize ni mtanzania yupi amezaliwa akakuta wazazi wake wanaongea lugha ya kiingereza? mbona watanzania wote lugha ya kiingereza tumeikuta shuleni tena ukiwa darasa la tatu?
kwakweli nimesikitishwa sana maana mimi binafsi nimeonga ile sehemu ya video ya pale BB4 alipoongea Kanumba kusema kweli ameongea kiingereza kizuri tu. mimi nafikiri imefika mahali watanzania tunatakiwa kubadirika tuachana na mambo ya chuki binafsi kama ailivyosema Kanumba mwenyewe tunatakiwa kupendana neno ambalo tuliachiwa na bwana wetu Yesu kristu
ni mdau wenu kutoka moshi
naitwa Dorry

Anonymous said...

kanumba ameipata kweli alimsema sana Wema Sepetu sasa zamu yake..hahahahahhahaha

Anonymous said...

mwezi mtukufu huu dada jisitiri basi dini yako hairuhusu jamani basi hata mwezi mmoja umekushinda acha ufirauni mwanamama hupendezi hata!
Jisitiri mwanamke

Anonymous said...

Kwa kuwaangalia jana nimeona kweli wasanii watanzania kazi bado ipo.
Jana mmeongea ujinga mtupu kwa staili hiyo hata mkienda kwa raisi hata waelewa.
Hivi kweli wote mliongea mkiwa wazima?
zaidi ya alimia 80% ya watanzania wana wivu kwenu?
Na kama kithungu sio issue huyo kanumba alitegemea akienda huko atasimama kama picha tuu?
Na halafu kwa akili zenu ile ndo zawadi kama mtanzania aliyotakiwa kugawia watu shati la pinki?kama kweli ni mzalendo si angeenda na kinyago cha kimakonde o anything cha kitamaduni.
HALAFU CHA KUSIKITISHA ZAIDI MKO PROUD NA UJINGA HUO?