RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Thursday, September 10, 2009

KAZI IMEPAMBA MOTO NDUGU WADAU


Hapo ndio mnapofurah ndugu wadau katika kupata mashoot ya kumwaga katika filam,Akionekana camera men Farid Wezi katika kutayarisha mzigo mpya

3 comments:

Anonymous said...

Bado Camera Sasa!....Jitahidi upate Camera ya Ukweli Kama JVC GY 250, PVW XDCAM HD, SONY Z7 HD 3CMOS.....Hizo Ndo Camera za ukweli Zenye "Film-Look" kwa maana picha yake inakua na rangi ya film na sio video....Office nzuri lakini Camera Bado!

zamaradi said...

Mwaka huu hakuna surprise ya birthday kwa swahiba kanumba?mnachekesha wanaume mnagombana eti kisa nani ana gari bei mbaya kina wolper nao wafanyenye?

Anonymous said...

mzee pichazako sio nzuri kama unatumia camera za sikukuu ndugu yangu