RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Sunday, September 6, 2009

KANUMBA NDANI YA BBA 4 REVOLUTION


Kanumba akiwa ndani ya BBA 4 Revolution akiwa kama mwakilishi wa watu maarufu kutoka Tanzania,Tunashukuru mungu kwa nafasi hii aliyoipata ndugu yetu Kanumba,Akhsante sana Movie Magic kwa kufanya mpaka ndugu yetu kupata nafasi hii,Watanzania watambue kwamba Kanumba siyo mwakilishi katika shindano hilo,Mwakilishi wa Tanzania atajulikana hivi karibuni

1 comment:

ray said...

Hongera sana ndugu yangu tumakusubiri nyumbani!!!