RAY THE GREATEST

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA BLOGU

TANGAZO LA KUBADILISHA JINA LA  BLOGU
Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com

Wednesday, September 2, 2009

KANUMBA "THE GREAT" AND RAY "THE GREATEST"


Nipo na Swahiba wangu mkubwa Kanumba "The Great" lakini mimi ndio "The greatest wake
na analitambua hilo much love brother!!!!!!!!!!!!!!!! hapa kwenye kushoot movie ya Oprah one of the best movie in Bongo.

31 comments:

Anonymous said...

congratulations!!!!!!bt if i may ask,kwenye hii picha mlipakwa powder nyingi au mlikua mmejichubua???????

Anonymous said...

Nakutakia kila la kheri ila kakangu, "the most great" au "the most greatest" ni correct anglish grammar kweli? Naomba ufanye research. Labda mimi ndiye niliyekosea...asante!Kuandika blog siyo kazi rahisi ila pia watu wanaweza kukusoma sana kwa vitu vidogo vodogo. Kila la kheri!

Anonymous said...

Too much make up, Kha!

Anonymous said...

Jamani mapoooouda yamezidi ndugu zangu na pia huyo jamaa wenu wa kufanya edit ya picha mwambieni ajaribu kufanya kidogo real anaedit sana mpaka mnakuwa kama mmechorwa but hongera mpaka ulipofikia uko juu sema rekebisha vitu vidogo vidogo punguzeni umarekani kwa sasa sanaa ni kwajili yetu sisi wabongo ata bila vipodozi ni bomba tu.

Anonymous said...

Bwana mdogo ningelikushauri ukajifunza blogs mbalimbali na kuiandaa ya kwako ikatulia ndipo ukaiweka hewani. kwa namna hii unajishusha hadhi na watu wanaku define kwamba kumbe wewe ni nunda. SI vyema uka launch kitu kama hiki tena kwa kupitia blogs ambazo ni wengi wana tizama kwani hujiweki kwenye chati zinazofaa.
Ushauri mdogo tu ni kuwa maadam kila mtu na fani yake, ni vyema ukatafuta kipanga mmoja wa maswala ya blog akakusaidia kutengeneza kitu na uki ki launch basi watu wanajua kumbe wewe ni mkali. hii inakusaidia kata kukupandishia chati yako ya movies. Lakini kwa mtaji huu unajionyesha unababaisha babaisha tu na inasikitisha. work on it more brother

mama ubaya said...

nawaomba tu kwenye movie msiwe mnapayuka na kuropoka hasa wewe ray kama wanaijereia wanafanya hivyo sio na nyinyi mkopi makosa fanyeni mambo kivyenu na kwa utaalam na msiwe na tamaa kila kitu kwenye movie uwe ni wewe tuuuuuuuu labda uwe profesheno haswa punguzeni umimi

mama ubaya said...
This comment has been removed by the author.
mama ubaya said...

kanumba acha kuvaa maviatu ya kuchonga na kujiona wewe ni celebrity kumbe ushamba unakusumbua na tngu mjue sauna kutwa mko huko mnatafuta uzuri ati kanumba jina hili bwana

Anonymous said...

kanumba hana lolote kapuku tu huyo anajiona baaab kubwa senge tu

Anonymous said...

Hongera Ray! Kumbuka mwanzo mgumu, comments zote zichukulie positive utafika mbali!

Anonymous said...

Good job..Lakini punguzeni powder be natural utapendeza tu si lazima kuwa mweupe ndio uwe mzuri mnalipa hata mkiwa weusi.

Anonymous said...

KANUMBAAAAAAAAAAAAAAAAA YUKO JUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU

Anonymous said...

mhh jamani hii lugha ya kiingereza imekuja na ndege jamani,kama huwez kheri uulize,sasa MOST GREAT maana yake nini?????????????????????? me naomba kujua elimu ya hawa watu,kwa ushauri tu nendeni Depertment of fine and perfoming arts pale UDSM mtajufunza mambo mawili matatu

Anonymous said...

Najua kiingereza sahihi ni "The Greatest" .. yaani katika kiingereza unapotaka kuonesha hali ya jambo au kitu toka ngazi ya chini hadi juu huitwa "superlatives" na hivyo superlative ya "great" .. huwa "the great" and "the greater" na ya juu kabisa ni "the greatest", kuna maneno ambayo huwezi kuongezea "..er" au "..est" kuonesha kiwango cha juu (highest degree)mfano: beautiful, important hivyo hutumia "more" na "most".. hapo "more" ni kiwango cha kati na "most" ikiwa ni kiwango cha juu kabisa.. hivyo tunasema: Important-more important-most important; au beautiful-more beautiful-most beautiful.

Hongera kwa kufungua blog... itasaidia kujitangaza ila jitahidi kupata watu msaidiane ku edit maandishi kabla huja post.. maana vitu vidogovidogo vianweza kufanya watu waku judge hivyo.. la sivyo tumia kiswahili kabisa...BIG UP!!!!!!

Anonymous said...

Hongera kwa hatua hiyo kaka. kuhusu blog sio mbaya kwa kuwa ndo mwanzo hata hizo ambazo watu wanaona zimesimama zilianza hivi hivi baadaye huwa zinaongezwa viraka. Najua hapa tatizo kubwa ni mtaji kwani naamini wewe pia unafahamu wapi walipo hao wataalamu.
Usijali sana watu kama mama ubaya wapo wengi kumbuka usemi usemao kwenye msafara wa mamba hata kenge wamo...... BIG UP!!!!!!!!!!!

Anonymous said...

Punguzeni kujichubua,mnakuwa kama waharabu. Najuaaata,kuwafahamu.

Anonymous said...

MIMI NAFIKIRI WATU WATOE MAONI YA KUMSAIDIA HUYU NDUGU YETU SIO CHUKI BINAFS NAONA KUNA WATU HAPA WANACHUKI SIJAONA KAMA KUNA SABABU YA KUJUA NANI ZAID KATI YA RAY NA KANUMBA HAPA,

MUCH RESPECT WOTE WALIOTOA MAONI YA MAENDELEO SHAME ON YOU WOTE WENYE CHUKI BINAFSI,HABARI NDIO HIYO WAPENI MOYO WATANZANIA WENZENU

Anonymous said...

walu kidogo sasa mnajitahidi.ila kitu cha msingi sana ndugu zanguni jifunzeni ku-control 'tone' mnapoongea!yani huwa mnakera ile mbaya,utafikiri yale maigizo ya shule ya msingi bana!unaweza kufoka au kuweka msisitizo kwa namna nyingi tu sio lazima ufanye kama Nigerians.mfano lile 'jambazi'maarufu huku kwetu kama Billy Drago,anasema 'nitakuua'kwa sauti ndogo sana lakini hata wewe mtazamaji unaogopa kutokana na 'kiimbo' katika kile anachotamka.msione haya kujifunza jamani hakujna anaejua kila kitu.LEARN GUYZ!!!!

Anonymous said...

ushauri wa bure! unapoigiza jaribu ku-control sauti yako isiwe juu sana unaonekana kama unapayuka and then sio kila sentensi unyoongea lazima uoneshe hasira, pili jaribuni kuweka feelings kwenye movie zenu, tatu msikurupuke andae script nzuri let it take a year lakini iwe kali na ya kubamba watu i hate movies ambazo audience can predict the outcome, nne nyie bado wadogo sana kwenye fani kwa hiyo acheni mind zenu ziwe wazi ili mmeendelee kujifunza mkijiona mmefika hamtakuwa na nafasi ya kujifunza hivyo kukosa room of improvement, tano msicopy na kupaste movie za kinaijeria instead angalie weakness zao then mcapitalise on it. mwisho jaribu kuwa makini na uchaguzi wa maneno ya kidhungu, jamani kidhungu kizungukeni, mambo madogo kama hayo yanafanya watu wajudge your competence n seriousness........... gud luck son

Anonymous said...

hahah hahah haha, yaani nimecheka hadi nasikia kujisaidia

haha hahah haha, jamani muacheni mwenzenu atakuwa amefanya kisaniii tu na si kwamba hajui. ila mh, ray hapo umetudanganya tangu nilivyoanza kukuona kwenye michezo ya kuigiza hadi leo una miaka 29?????????? jaribu kuwa mkweli au vinginevyo huna sababu ya kuweka umri wako wazi, maana mimi nimeanza kuangalia michezo yako nikiwa sekondari hadi leo nimemaliza chuo nafanya kazi nina miaka 25 iweje mimi na wewe tupishane miaka minne.

kuwa mkweli bro, la sivyo piga kimya kama dadangu jide.

vinginevyo, nawapa hongera kwa kazi zenu mnajitahidi sana!

Anonymous said...

jamani nyie...mi mnanibore....ma-make up yote hayo ya nini???mnajichubua nini??aaaah.....cjui nyie vpi??!!!!....and there is nothing like "the most greatest"....its the greatest...english jamani,kama mnataka kutumia english,ijueni....aaii!!

pendo said...

inawezekana ni kweli ray anamiaka 29, tho mmeanza kumuona kwenye sanaa muda mrefu, mimi nilisoma nae shule ya msingi muhimbili tulimaliza mwaka 1994, alikuwa mtundu sana na mchafu! sory to say so bt ni utoto nakumbuka mpaka mama yake aliitwa shule kwa ajili ya uchafu wake alijaa utangotango! bt nw ameiprove sana amekuwa msafi ila amejichubua sijui ndio katika kuondoa mba au!
hongera vicent nikikuona nakumbuka sana pale darasa la saba C na watumdu wenzio wakina madaya kurwa, makasi kassim, mbaraka, sunday masandeko, muddy,geofrey etc. big up bro kaza buti utafanikiwa tu fuata ushauri unaopewa na watu usidhani ni chuki binafsi bt most of comments ni za kweli.

Anonymous said...

hehehe,Sina mengi ila ni machache tu kijana Ray,Kila fani ina mtu wake,Movies zenu nyingi idea ni nzuri ila sijui mambo ya pesa au nini,Editing and directors hakuna,nimeona kuna baadhi ya Movies etu Kanumba naye ni Editor,Kuweni tayari kugawa kazi kwa watu wenye fani,kuwa tayari hata kupata robo ya unayopata sasa ila baada ya muda mdogo utapick kaka.
Kumbuka hata Roma haikujengwa kwa siku,kinachotakiwa ni kutobweteka na kujiona ndio mumefika na ninyi nio masuperstar,nimeona videos za Kanumba anaonekana ameridhika na kuiga mno bila ya kuwa na washauri.
Kumbuka,wewe na wasanii wengi wa bongo hamna SHULE(ie munaigiza kama kipaji na sio fani) so lazima muwe na backup(diectors,editors....)ambao wamepiga shule na sio kwakuwa maarufu au handsome,WT** eti leo mumemuona Gadner maarufu then munamchukua ndio director na matokeo munaharibu movies na kutokuwa na maendeleo.
Jaribuni kutumia(kugawana) kidogo munachopata ila munatoa kitu bora.Hii ndio sababu hata makundi mengi ya tanzania hayaendelei na wasanii wengi hawawezi kukaa chatini kwa muda,Kuna siku nilikuwa naangalia Party ya 50 Cent,mamanager wake wote sio wale unaowaona on stage,ni vichwa kielimu ambao wamebobea kwenye fani,jaribu kutafuta watu wenye fani then kuwa na mkataba nao mzuri,najua itakucost mwanzoni ila baada ya muda utapick kaka,
NImetoka Tz miaka mingi mno na sina beef na mtu yeyote ila nimeandika haya kwakuwa napenda kushare ninalojua na wenzangu.
Kila la kheri kaka

Anonymous said...

Ray pole sana.
Hii blog yako ni mpya bado,kuwa makini sana na matusi yanayotumwa huku,pamoja na hizi COMMENTS ambozo kila mtu anaandika atakalo.
nuulize michuzi matatizo aliyopata wakati akianza blog yake.
Soma hizi comments wewe mwenyewe kabla ya ku post.
Usitumie kiingereza kabisa humu ndani,maana ukichapia kila mtu ataponda kivyake.
Mwisho-kaa chini ujipange upya kwenye blog hii.

Kuwa makini kaka.

Anonymous said...

yote kwa yote punguzeni umalaya mnajidai bab kubwa vile mnaweza kuchukua madem cha wote ka kanumba wenzake wooote walishapakua pale ati yeye ndo kaona kapaata kumbe wapi wewe ray mainda bwanake alikufa kwa ngoma na wewe ukajiweka hapo ikapelekekea wewe kuokoka baada ya kugundua maumivu ya kichwa huanza polepole acheni umalaya nyangumi nyie na hayo maigizo yenu mnayoyaita movie za magouse gal

Anonymous said...

hapo juu nilikuwa namaanisha movie za mahouse gal

Anonymous said...

Ray toa hizi takataka kwenye huu ulimwengu ndugu yangu maana kwa watu wengi wanafikiri wanamwandikia mtu mwelewa,tafadhali toa taka taka kwenye huu ulimwengu wa sasa blog kama zako ni uchafu mkubwa mkubwa sana wewe endeleza sana zako na kanumba the most wako.
jamaani wote mnaoandika - somesheni watoto wenu,mfano mzuri angalia hawa kina ray na wenzake matatizo walionayo.

Anonymous said...

Mimi sina mengi kwa Nguli huyu wa filamu zetu za hapa nyumbani!
Swari langu ni'Kwanini wamejiita the most na huyu mwingine akabaki the great?
Kuna uvumi umeenea eti nyinyi mna bifu ni kweli?

Anonymous said...

wewe swahiba wa kwanza kabisa, hamna kitu kama the most greatest kwenye chingereza..ukweli ni kwamba inabidi aseme THE GREATEST BILA MOST GREATEST.

Anonymous said...

Wewe Anon wa 2 kabla hujamcorrect Ray,jicorrect na wewe kiswahili chako,nyie mnaokosoa wapumbavu kabisa kutokana na hali yetu ya maisha hawa vijana wanajitahidi sana,kwani walivyoanza mpaka walipofikia hamuoni wamefika mbali kiasi fulani..acheni kuongea ovyo na nyie fungueni blog zetu ni bure kufungua blog na ni haki kwa kila binadamu..Ray achana na wapumbavu kaza buti mwanangu.

Anonymous said...

Ray na Kanumba mbona mnapenda kujichubua na kupaka Mausomali (Wave)?