Tunawaomba radhi wadau wote wa blogu ya RAY THE GRETEST kuwa tumebadilisga jina la Blogu na sasa inaitwa:-www.raythegreatest.blogspot.com
Wednesday, September 2, 2009
"DIVORCE" COMING SOON!!!!!!
Divorce one of the great movie comming soon, produced by RJ Company
Dont miss it go and get your copy,staring Me,Sandra,Johari and Mlela
10 comments:
Anonymous
said...
Tatizo letu ni kuwa movies zetu hazi haririwi vya kutosha na maandalizi yanakuwa ni ya kuparura badala ya kuwekewa uthabiti imara na investment ya kutosha. Sidhani kama kuna uandishi mzuri wa scripts, uhariri wa scripts, umkini wa story na ufuatiliaji wa kina wa scripts. Otherwise movies zetu zinakuwa bado za low quality. mnajali sana kufyatua ma movie lakini hamjali ubora. that is the problem. Kumbe mtu anaweza kutengeneza kitu kilichotulia kimoja tu tena kikachukua miaka lakini kikitoka kina hit kiasi kwamba hit yake haisahauliki. nitakupa mfano: home alone series / Dynasty / sister act / bringing the house down / etc
achana na wapambe wasiokuwa na maana wanasema weee wakija kushtuka una magari hata 50 achana na hao wenye vijiba vya roho mbaya kaza buti shabiki yako from dom mankya nkya dodoma mankya.nkya@yahoo.com
Sasa ndio mapinduzi ya kweli yanakuja,coz nilikuwa nasubiria kwa hamu kubwa siku Bwana mdogo Yusuph atakaposhirikishwa na mmoja wa hao wanaojiita sijui ma "Great",sasa check huyo Ray atakavyopotezwa humo kwenye divorce,na hiyo itakuwa salamu tosha kwa kaka ake Kanumba.Upo juu sa Yusuph,huwezi amini cjakosa kuangalia movie yako hata 1,keep it up dogo,usilewe sifa.Ni hayo tu
Filamu nyingi za Tanzania ni nzuri, tatizo linakuja kwenye subtitles. Jamani, huwa naona aibu sana wakati nikisoma hizo subtitles kwani huwa haziendani kabisa na maneno yanayotamkwa pia kiingereza kinakuwa cha hali ya chini sana. Naomba huyo mtu anayehusika na hizo subtitles awe makini sana kwenye kazi yake, kuwe na watu wawili au watatu wanaozipitia hizo subtitles kabla ya kuziweka. Huo ni ushauri tu.
Though i have not managed to watch your new movie,But due to your experince in the movie making industry,i guess divorce will be the movie of the year. The only thing that ray needs to rectify himself during the recording exercise is to control his voice "its louder and a sort of shocking" need to be polite where necessary and otherwise as per scene. It is all for today.
Aisee...mimi sio mpenzi wa movies za kibongo hata kidogo wala sifikirii kuja kuziruhusu zioneshwe ndani ya familia zangu.Nakushaurini jaribuni kuweka majina ya filamu zenu kwa KISWAHILI kisha KIINGEREZA kiwe kwa herufi ndogo.
mdau hapo juu naungana na wewe ni upuuzi wa hali ya juu sio movie ni maigizo ya primary aibuuuuu halafu wanajidai ati macelebrity likanumba ndo uspime na macream usoni na michunusi mikubwa ka tetekuwanga yani ni full mikorogo malaya machangu hawa
Ray,kazi yako ni nzuri lkn jaribu kujifunza JAMBO jipya kila wakati unapopata nafasi especially from developed countries kuhusu movies. remember movies industry is growing faster than ever. fanya kazi na watu tofauti ambayo wako movies talented example from Nageria, congo, Ghana, etc.
kuwa gentleman look always kujiremba sana sio ufanisi, Watu wanakuchukulia tofauti sana. All the best,
10 comments:
Tatizo letu ni kuwa movies zetu hazi haririwi vya kutosha na maandalizi yanakuwa ni ya kuparura badala ya kuwekewa uthabiti imara na investment ya kutosha. Sidhani kama kuna uandishi mzuri wa scripts, uhariri wa scripts, umkini wa story na ufuatiliaji wa kina wa scripts. Otherwise movies zetu zinakuwa bado za low quality. mnajali sana kufyatua ma movie lakini hamjali ubora. that is the problem. Kumbe mtu anaweza kutengeneza kitu kilichotulia kimoja tu tena kikachukua miaka lakini kikitoka kina hit kiasi kwamba hit yake haisahauliki. nitakupa mfano: home alone series / Dynasty / sister act / bringing the house down / etc
achana na wapambe wasiokuwa na maana wanasema weee wakija kushtuka una magari hata 50 achana na hao wenye vijiba vya roho mbaya kaza buti
shabiki yako from dom
mankya nkya
dodoma
mankya.nkya@yahoo.com
Sasa ndio mapinduzi ya kweli yanakuja,coz nilikuwa nasubiria kwa hamu kubwa siku Bwana mdogo Yusuph atakaposhirikishwa na mmoja wa hao wanaojiita sijui ma "Great",sasa check huyo Ray atakavyopotezwa humo kwenye divorce,na hiyo itakuwa salamu tosha kwa kaka ake Kanumba.Upo juu sa Yusuph,huwezi amini cjakosa kuangalia movie yako hata 1,keep it up dogo,usilewe sifa.Ni hayo tu
ee Bwana makwetu inapendeza, nikutakie kila la heri nduguye. wape hi na napenda siku moja kucheza na nyie ati. much love
Filamu nyingi za Tanzania ni nzuri, tatizo linakuja kwenye subtitles. Jamani, huwa naona aibu sana wakati nikisoma hizo subtitles kwani huwa haziendani kabisa na maneno yanayotamkwa pia kiingereza kinakuwa cha hali ya chini sana. Naomba huyo mtu anayehusika na hizo subtitles awe makini sana kwenye kazi yake, kuwe na watu wawili au watatu wanaozipitia hizo subtitles kabla ya kuziweka. Huo ni ushauri tu.
Though i have not managed to watch your new movie,But due to your experince in the movie making industry,i guess divorce will be the movie of the year.
The only thing that ray needs to rectify himself during the recording exercise is to control his voice "its louder and a sort of shocking" need to be polite where necessary and otherwise as per scene.
It is all for today.
Aisee...mimi sio mpenzi wa movies za kibongo hata kidogo wala sifikirii kuja kuziruhusu zioneshwe ndani ya familia zangu.Nakushaurini jaribuni kuweka majina ya filamu zenu kwa KISWAHILI kisha KIINGEREZA kiwe kwa herufi ndogo.
mdau hapo juu naungana na wewe ni upuuzi wa hali ya juu sio movie ni maigizo ya primary aibuuuuu halafu wanajidai ati macelebrity likanumba ndo uspime na macream usoni na michunusi mikubwa ka tetekuwanga yani ni full mikorogo malaya machangu hawa
Mkuu, mbona hii blog picha moja tu kila siku! kulikoni!
Ray,kazi yako ni nzuri lkn jaribu kujifunza JAMBO jipya kila wakati unapopata nafasi especially from developed countries kuhusu movies.
remember movies industry is growing faster than ever.
fanya kazi na watu tofauti ambayo wako movies talented example from Nageria, congo, Ghana, etc.
kuwa gentleman look always kujiremba sana sio ufanisi, Watu wanakuchukulia tofauti sana.
All the best,
Post a Comment